Arabic with tafsir
Listen to Surah Al-Kawthar (810 reciters)
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ ١Hakika tumekupa kheri nyingi فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ ٢Basi sali na uchinje kwa ajili ya Mola wako Mlezi إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ ٣Hakika anaye kuchukia ndiye aliye mpungufu
Translation: Ali Muhsin Al Barwani.