بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡمُدَّثِّرُ ١Ewe uliye jigubika قُمۡ فَأَنذِرۡ ٢Simama uonye وَرَبَّكَ فَكَبِّرۡ ٣Na Mola wako Mlezi mtukuze وَثِيَابَكَ فَطَهِّرۡ ٤Na nguo zako, zisafishe وَٱلرُّجۡزَ فَٱهۡجُرۡ ٥Na yaliyo machafu yahame وَلَا تَمۡنُن تَسۡتَكۡثِرُ ٦Wala usitoe kwa kutaraji kuzidishiwa وَلِرَبِّكَ فَٱصۡبِرۡ ٧Na kwa ajili ya Mola wako Mlezi, subiri فَإِذَا نُقِرَ فِي ٱلنَّاقُورِ ٨Basi litapo pulizwa barugumu فَذَٰلِكَ يَوۡمَئِذٍ يَوۡمٌ عَسِيرٌ ٩Siku hiyo, basi, itakuwa siku ngumu عَلَى ٱلۡكَٰفِرِينَ غَيۡرُ يَسِيرٍ ١٠Kwa makafiri haitakuwa nyepesi ذَرۡنِي وَمَنۡ خَلَقۡتُ وَحِيدًا ١١Niache peke yangu na niliye muumba وَجَعَلۡتُ لَهُۥ مَالًا مَّمۡدُودًا ١٢Na nikamjaalia awe na mali mengi وَبَنِينَ شُهُودًا ١٣Na wana wanao onekana وَمَهَّدتُّ لَهُۥ تَمۡهِيدًا ١٤Na nikamtgenezea mambo vizuri kabisa ثُمَّ يَطۡمَعُ أَنۡ أَزِيدَ ١٥Kisha anatumai nimzidishie كـَلَّآۖ إِنَّهُۥ كَانَ لِأٓيَٰتِنَا عَنِيدًا ١٦Hasha! Kwani hakika yeye alikuwa akizifanyia inadi Aya zetu سَأُرۡهِقُهُۥ صَعُودًا ١٧Nitamtesa kwa mateso yasio wezekana إِنَّهُۥ فَكَّرَ وَقَدَّرَ ١٨Kwani hakika yeye alifikiri na akapima فَقُتِلَ كَيۡفَ قَدَّرَ ١٩Basi ameangamia! Vipi alivyo pima ثُمَّ قُتِلَ كَيۡفَ قَدَّرَ ٢٠Tena ameangamia! Vipi alivyo pima ثُمَّ نَظَرَ ٢١Kisha akatazama ثُمَّ عَبَسَ وَبَسَرَ ٢٢Kisha akakunja kipaji, na akanuna ثُمَّ أَدۡبَرَ وَٱسۡتَكۡبَرَ ٢٣Kisha akaipa kisogo haki, na akatakabari فَقَالَ إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا سِحۡرٌ يُؤۡثَرُ ٢٤Na akasema: Haya si chochote ila ni uchawi ulio nukuliwa إِنۡ هَٰذَآ إِلَّا قَوۡلُ ٱلۡبَشَرِ ٢٥Haya si chochote ila kauli ya binaadamu سَأُصۡلِيهِ سَقَرَ ٢٦Nitakuja mtia kwenye Moto wa Saqar وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا سَقَرُ ٢٧Na nini kitakujuulisha ni nini huo Moto wa Saqar لَا تُبۡقِي وَلَا تَذَرُ ٢٨Haubakishi wala hausazi لَوَّاحَةٌ لِّلۡبَشَرِ ٢٩Unababua ngozi iwe nyeusi عَلَيۡهَا تِسۡعَةَ عَشَرَ ٣٠Juu yake wapo kumi na tisa وَمَا جَعَلۡنَآ أَصۡحَٰبَ ٱلنَّارِ إِلَّا مَلَٰٓئِكَةًۖ وَمَا جَعَلۡنَا عِدَّتَهُمۡ إِلَّا فِتۡنَةً لِّلَّذِينَ كَفَرُواْ لِيَسۡتَيۡقِنَ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡكِتَٰبَ وَيَزۡدَادَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوٓاْ إِيمَٰنًا وَلَا يَرۡتَابَ ٱلَّذِينَ أُوتُواْ ٱلۡكِتَٰبَ وَٱلۡمُؤۡمِنُونَ وَلِيَقُولَ ٱلَّذِينَ فِي قُلُوبِهِم مَّرَضٌ وَٱلۡكَٰفِرُونَ مَاذَآ أَرَادَ ٱللَّهُ بِهَٰذَا مَثَلًاۚ كَذَٰلِكَ يُضِلُّ ٱللَّهُ مَن يَشَآءُ وَيَهۡدِي مَن يَشَآءُۚ وَمَا يَعۡلَمُ جُنُودَ رَبِّكَ إِلَّا هُوَۚ وَمَا هِيَ إِلَّا ذِكۡرَىٰ لِلۡبَشَرِ ٣١Na hatukuwafanya walinzi wa Motoni ila ni Malaika, wala hatukuifanya idadi yao hiyo ila kuwatatanisha walio kufuru, wapate kuwa na yakini walio pewa Kitabu, na wazidi Imani wale walio amini, wala wasiwe na shaka walio pewa Kitabu na Waumini, na wapate kusema wenye maradhi katika nyoyo zao na makafiri: Mwenyezi Mungu amekusudia nini kwa mfano huu? Ndio kama hivyo Mwenyezi Mungu humwacha apotee amtakaye, na humwongoa amtakaye. Na hapana yeyote anaye jua majeshi ya Mola wako Mlezi ila Yeye tu. Na haya si chochote ila ni ukumbusho kwa binaadamu كـَلَّا وَٱلۡقَمَرِ ٣٢Hasha! Naapa kwa mwezi وَٱلَّيۡلِ إِذۡ أَدۡبَرَ ٣٣Na kwa usiku unapo kucha وَٱلصُّبۡحِ إِذَآ أَسۡفَرَ ٣٤Na kwa asubuhi inapo pambazuka إِنَّهَا لَإِحۡدَى ٱلۡكُبَرِ ٣٥Hakika huo Moto ni katika mambo yaliyo makubwa kabisa نَذِيرًا لِّلۡبَشَرِ ٣٦Ni onyo kwa binaadamu لِمَن شَآءَ مِنكُمۡ أَن يَتَقَدَّمَ أَوۡ يَتَأَخَّرَ ٣٧Kwa anaye taka miongoni mwenu kutangulia au kuchelewa كُلُّ نَفۡسِۭ بِمَا كَسَبَتۡ رَهِينَةٌ ٣٨Kila nafsi imo rahanini kwa mabaya iliyo yachuma إِلَّآ أَصۡحَٰبَ ٱلۡيَمِينِ ٣٩Isipo kuwa watu wa kuliani فِي جَنَّٰتٍ يَتَسَآءَلُونَ ٤٠Hao watakuwa katika Mabustani, wawe wanaulizana عَنِ ٱلۡمُجۡرِمِينَ ٤١Khabari za wakosefu مَا سَلَكَكُمۡ فِي سَقَرَ ٤٢Ni nini kilicho kupelekeni Motoni قَالُواْ لَمۡ نَكُ مِنَ ٱلۡمُصَلِّينَ ٤٣Waseme: Hatukuwa miongoni walio kuwa wakisali وَلَمۡ نَكُ نُطۡعِمُ ٱلۡمِسۡكِينَ ٤٤Wala hatukuwa tukiwalisha masikini وَكُنَّا نَخُوضُ مَعَ ٱلۡخَآئِضِينَ ٤٥Na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu وَكُنَّا نُكَذِّبُ بِيَوۡمِ ٱلدِّينِ ٤٦Na tulikuwa tukiikanusha siku ya malipo حَتَّىٰٓ أَتَىٰنَا ٱلۡيَقِينُ ٤٧Mpaka yakini ilipo tufikia فَمَا تَنفَعُهُمۡ شَفَٰعَةُ ٱلشَّٰفِعِينَ ٤٨Basi hautawafaa kitu uombezi wa waombezi فَمَا لَهُمۡ عَنِ ٱلتَّذۡكِرَةِ مُعۡرِضِينَ ٤٩Basi wana nini hata wanapuuza onyo hili كَأَنَّهُمۡ حُمُرٌ مُّسۡتَنفِرَةٌ ٥٠Kama kwamba wao ni mapunda walio timuliwa فَرَّتۡ مِن قَسۡوَرَةِۭ ٥١Wanao mkimbia simba بَلۡ يُرِيدُ كُلُّ ٱمۡرِيٍٕ مِّنۡهُمۡ أَن يُؤۡتَىٰ صُحُفًا مُّنَشَّرَةً ٥٢Ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa كـَلَّاۖ بَل لَّا يَخَافُونَ ٱلۡأٓخِرَةَ ٥٣Hasha! Kwani wao hawaiogopi Akhera كـَلَّآ إِنَّهُۥ تَذۡكِرَةٌ ٥٤Hasha! Kwa hakika huu ni ukumbusho فَمَن شَآءَ ذَكَرَهُۥ ٥٥Basi anaye taka atakumbuka وَمَا يَذۡكُرُونَ إِلَّآ أَن يَشَآءَ ٱللَّهُۚ هُوَ أَهۡلُ ٱلتَّقۡوَىٰ وَأَهۡلُ ٱلۡمَغۡفِرَةِ ٥٦Na hawatakumbuka isipo kuwa Mwenyezi Mungu atake. Uchamngu ni kwake Yeye, na msamaha ni wake Yeye