وَٱلتِّينِ وَٱلزَّيۡتُونِ ١Naapa kwa tini na zaituniوَطُورِ سِينِينَ ٢Na kwa Mlima wa Sinaiوَهَٰذَا ٱلۡبَلَدِ ٱلۡأَمِينِ ٣Na kwa mji huu wenye amaniلَقَدۡ خَلَقۡنَا ٱلۡإِنسَٰنَ فِيٓ أَحۡسَنِ تَقۡوِيمٍ ٤Bila ya shaka tumemuumba mtu kwa umbo lilio bora kabisaثُمَّ رَدَدۡنَٰهُ أَسۡفَلَ سَٰفِلِينَ ٥Kisha tukamrudisha kuwa chini kuliko walio chiniإِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ فَلَهُمۡ أَجۡرٌ غَيۡرُ مَمۡنُونٍ ٦Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwishaفَمَا يُكَذِّبُكَ بَعۡدُ بِٱلدِّينِ ٧Basi ni kipi baadaye kitacho kukukadhibishia malipoأَلَيۡسَ ٱللَّهُ بِأَحۡكَمِ ٱلۡحَٰكِمِينَ ٨Kwani Mwenyezi Mungu si muadilifu kuliko mahakimu wote