ملة الإسلام

السورة 103 · 3 آية · Abdullah Muhammad Abu Bakr

سورة العصر باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة العصر (1,282 قارئاً)
مكيةسورة العصر٣ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلۡعَصۡرِ ١Mwenyezi Mungu Anaapa kwa zama إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَفِي خُسۡرٍ ٢kwamba wanadamu wako kwenye maangamivu na upungufu. Haifai kwa mja kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, kwani kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina إِلَّا ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ وَعَمِلُواْ ٱلصَّٰلِحَٰتِ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلۡحَقِّ وَتَوَاصَوۡاْ بِٱلصَّبۡرِ ٣Isipokuwa wale waliomuamini Mwenyezi Mungu, wakafanya amali njema, wakausiana wao kwa wao kushikamana na haki, kufanya matendo ya kumtii Mwenyezi Mungu na kusubiri juu yake

الترجمة: Abdullah Muhammad Abu Bakr.