أَلۡهَىٰكُمُ ٱلتَّكَاثُرُ ١Kumekushughulisheni kutafuta wingiحَتَّىٰ زُرۡتُمُ ٱلۡمَقَابِرَ ٢Mpaka mje makaburiniكـَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٣Sivyo hivyo! Mtakuja juaثُمَّ كـَلَّا سَوۡفَ تَعۡلَمُونَ ٤Tena sivyo hivyo! Mtakuja juaكـَلَّا لَوۡ تَعۡلَمُونَ عِلۡمَ ٱلۡيَقِينِ ٥Sivyo hivyo! Lau mngeli jua kwa ujuzi wa yakiniلَتَرَوُنَّ ٱلۡجَحِيمَ ٦Basi bila ya shaka mtaiona Jahannamuثُمَّ لَتَرَوُنَّهَا عَيۡنَ ٱلۡيَقِينِ ٧Tena, bila ya shaka, mtaiona kwa jicho la yakiniثُمَّ لَتُسۡـَٔلُنَّ يَوۡمَئِذٍ عَنِ ٱلنَّعِيمِ ٨Tena bila ya shaka mtaulizwa siku hiyo juu ya neema