Millat al-Islam

Chapter 114 · 6 verses · Ali Muhsin Al Barwani

Surah Al-Nas in Swahili

Arabic with tafsir Listen to Surah Al-Nas (1315 reciters)
Meccanسورة الناس6 verses

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ١Sema: Ninajikinga kwa Mola Mlezi wa wanaadamu مَلِكِ ٱلنَّاسِ ٢Mfalme wa wanaadamu إِلَٰهِ ٱلنَّاسِ ٣Mungu wa wanaadamu مِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ ٤Na shari ya wasiwasi wa Shetani, Khannas ٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ ٥Anaye tia wasiwasi katika vifua vya watu مِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ ٦Kutokana na majini na wanaadamu

Translation: Ali Muhsin Al Barwani.