Arabic with tafsir
Listen to Surah Az-Zalzala (1306 reciters)
بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِذَا زُلۡزِلَتِ ٱلۡأَرۡضُ زِلۡزَالَهَا ١Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake وَأَخۡرَجَتِ ٱلۡأَرۡضُ أَثۡقَالَهَا ٢Na itakapo toa ardhi mizigo yake وَقَالَ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا لَهَا ٣Na mtu akasema: Ina nini يَوۡمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخۡبَارَهَا ٤Siku hiyo itahadithia khabari zake بِأَنَّ رَبَّكَ أَوۡحَىٰ لَهَا ٥Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia يَوۡمَئِذٍ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتًا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ ٦Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao فَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ خَيۡرًا يَرَهُۥ ٧Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona وَمَن يَعۡمَلۡ مِثۡقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُۥ ٨Na anaye tenda chembe ya uovu atauona
Translation: Ali Muhsin Al Barwani.