بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَٱلۡعَٰدِيَٰتِ ضَبۡحًا ١Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumua فَٱلۡمُورِيَٰتِ قَدۡحًا ٢Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chini فَٱلۡمُغِيرَٰتِ صُبۡحًا ٣Wakishambulia wakati wa asubuhi فَأَثَرۡنَ بِهِۦ نَقۡعًا ٤Huku wakitimua vumbi فَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا ٥Na wakijitoma kati ya kundi إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٌ ٦Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi وَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ ٧Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo وَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلۡخَيۡرِ لَشَدِيدٌ ٨Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali ۞ أَفَلَا يَعۡلَمُ إِذَا بُعۡثِرَ مَا فِي ٱلۡقُبُورِ ٩Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburini وَحُصِّلَ مَا فِي ٱلصُّدُورِ ١٠Na yakakusanywa yaliomo vifuani إِنَّ رَبَّهُم بِهِمۡ يَوۡمَئِذٍ لَّخَبِيرُۢ ١١Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote