لِإِيلَٰفِ قُرَيۡشٍ ١Kwa walivyo zoea Maqureshiإِۦلَٰفِهِمۡ رِحۡلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيۡفِ ٢Kuzoea kwao safari za siku za baridi na siku za jotoفَلۡيَعۡبُدُواْ رَبَّ هَٰذَا ٱلۡبَيۡتِ ٣Basi nawamuabudu Mola Mlezi wa Nyumba hiiٱلَّذِيٓ أَطۡعَمَهُم مِّن جُوعٍ وَءَامَنَهُم مِّنۡ خَوۡفِۭ٤Ambaye anawalisha wasipate njaa, na anawalinda na khofu