Millat al-Islam

Chapter 105 · 5 verses · Ali Muhsin Al Barwani

Surah Al-Fil in Swahili

Arabic with tafsir Listen to Surah Al-Fil (851 reciters)
Meccanسورة الفيل5 verses

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

أَلَمۡ تَرَ كَيۡفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِأَصۡحَٰبِ ٱلۡفِيلِ ١Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo watenda wale wenye tembo أَلَمۡ يَجۡعَلۡ كَيۡدَهُمۡ فِي تَضۡلِيلٍ ٢Kwani hakujaalia vitimbi vyao kuharibika وَأَرۡسَلَ عَلَيۡهِمۡ طَيۡرًا أَبَابِيلَ ٣Na akawapelekea ndege makundi kwa makundi تَرۡمِيهِم بِحِجَارَةٍ مِّن سِجِّيلٍ ٤Wakiwatupia mawe ya udongo wa Motoni فَجَعَلَهُمۡ كَعَصۡفٍ مَّأۡكُولِۭ ٥Akawafanya kama majani yaliyo liwa

Translation: Ali Muhsin Al Barwani.