ملة الإسلام

السورة 108 · 3 آية · Abdullah Muhammad Abu Bakr

سورة الكوثر باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة الكوثر (823 قارئاً)
مكيةسورة الكوثر٣ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

إِنَّآ أَعۡطَيۡنَٰكَ ٱلۡكَوۡثَرَ ١Sisi tumekupa, ewe Nabii, kheri nyingi za dunia na Akhera, miongoni mwazo ni mto wa Kauthar ulioko Peponi ambao pambizo zake ni mahema ya lulu na mchanga wake ni miski فَصَلِّ لِرَبِّكَ وَٱنۡحَرۡ ٢Basi, mtakasie Mola wako ibada yako yote na uchinje mnyama wako kwa ajili Yake, Peke Yake, pamoja na kutaja jina Lake إِنَّ شَانِئَكَ هُوَ ٱلۡأَبۡتَرُ ٣Mwenye kukutukia wewe na kuyatukia uliyokuja nayo ya uongofu na nuru ndiye itakayokatika athari yake na yeye mwenyewe kukatiwa kila kheri

الترجمة: Abdullah Muhammad Abu Bakr.