قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلنَّاسِ ١Sema, ewe Mtume, «Ninajilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa watu, Mwenye uweza, Peke Yake, wa kulirudisha shari laoمَلِكِ ٱلنَّاسِ ٢«Mfalme wa watu, Mwenye kupeleka mambo yao yote Anavyotaka, Aliye Mkwasi kutowahitajiaإِلَٰهِ ٱلنَّاسِ ٣«Mola wa watu, Ambaye hapana mwenye kuabudiwa kwa haki isipokuwa Yeyeمِن شَرِّ ٱلۡوَسۡوَاسِ ٱلۡخَنَّاسِ ٤«Kutokana na udhia wa shetani ambaye hutia watu wasiwasi wanapoghafilika na hujificha atajwapo Mwenyezi Munguٱلَّذِي يُوَسۡوِسُ فِي صُدُورِ ٱلنَّاسِ ٥«Mwenye kupenyeza shari na shaka kwenye vifua vya watuمِنَ ٱلۡجِنَّةِ وَٱلنَّاسِ ٦«Miongoni mwa mashetani wa kijini na kibinadamu.»