قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ ١Sema, ewe Mtume, «Najilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa asubuhiمِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢«Kutokana na shari la viumbe na udhia waoوَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ٣«Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yakeوَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ ٤«Na shari la wchawi wenye kupuliza kwenye mafundo wanayoyafunga kwa lengo la kurogaوَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ٥«Na shari la hasidi mwenye kutukia watu, anapowahusudu na kuwadhuru, kwa kutaka neema za Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha ziwaondokee.»