وَٱلۡعَٰدِيَٰتِ ضَبۡحًا ١Naapa kwa farasi wendao mbio wakipumuaفَٱلۡمُورِيَٰتِ قَدۡحًا ٢Na wakitoa moto kwa kupiga kwato zao chiniفَٱلۡمُغِيرَٰتِ صُبۡحًا ٣Wakishambulia wakati wa asubuhiفَأَثَرۡنَ بِهِۦ نَقۡعًا ٤Huku wakitimua vumbiفَوَسَطۡنَ بِهِۦ جَمۡعًا ٥Na wakijitoma kati ya kundiإِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لِرَبِّهِۦ لَكَنُودٌ ٦Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mleziوَإِنَّهُۥ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ ٧Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayoوَإِنَّهُۥ لِحُبِّ ٱلۡخَيۡرِ لَشَدِيدٌ ٨Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali۞ أَفَلَا يَعۡلَمُ إِذَا بُعۡثِرَ مَا فِي ٱلۡقُبُورِ ٩Kwani hajui watakapo fufuliwa waliomo makaburiniوَحُصِّلَ مَا فِي ٱلصُّدُورِ ١٠Na yakakusanywa yaliomo vifuaniإِنَّ رَبَّهُم بِهِمۡ يَوۡمَئِذٍ لَّخَبِيرُۢ ١١Kuwa hakika Mola wao Mlezi siku hiyo bila ya shaka atakuwa na khabari zao wote