ملة الإسلام

السورة 87 · 19 آية · Ali Muhsin Al Barwani

سورة الأعلى باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة الأعلى (1,435 قارئاً)
مكيةسورة الأعلى١٩ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

سَبِّحِ ٱسۡمَ رَبِّكَ ٱلۡأَعۡلَى ١Litakase jina la Mola wako Mlezi aliye juu kabisa ٱلَّذِي خَلَقَ فَسَوَّىٰ ٢Aliye umba, na akaweka sawa وَٱلَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ ٣Na ambaye amekadiria na akaongoa وَٱلَّذِيٓ أَخۡرَجَ ٱلۡمَرۡعَىٰ ٤Na aliye otesha malisho فَجَعَلَهُۥ غُثَآءً أَحۡوَىٰ ٥Kisha akayafanya makavu, meusi سَنُقۡرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰٓ ٦Tutakusomesha wala hutasahau إِلَّا مَا شَآءَ ٱللَّهُۚ إِنَّهُۥ يَعۡلَمُ ٱلۡجَهۡرَ وَمَا يَخۡفَىٰ ٧Ila akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana وَنُيَسِّرُكَ لِلۡيُسۡرَىٰ ٨Na tutakusahilishia yawe mepesi فَذَكِّرۡ إِن نَّفَعَتِ ٱلذِّكۡرَىٰ ٩Basi kumbusha, kama kukumbusha kunafaa سَيَذَّكَّرُ مَن يَخۡشَىٰ ١٠Atakumbuka mwenye kuogopa وَيَتَجَنَّبُهَا ٱلۡأَشۡقَى ١١Na atajitenga mbali nayo mpotovu ٱلَّذِي يَصۡلَى ٱلنَّارَ ٱلۡكُبۡرَىٰ ١٢Ambaye atauingia Moto mkubwa ثُمَّ لَا يَمُوتُ فِيهَا وَلَا يَحۡيَىٰ ١٣Tena humo hatakufa wala hawi hai قَدۡ أَفۡلَحَ مَن تَزَكَّىٰ ١٤Hakika amekwisha fanikiwa aliye jitakasa وَذَكَرَ ٱسۡمَ رَبِّهِۦ فَصَلَّىٰ ١٥Na akakumbuka jina la Mola wake Mlezi, na akasali بَلۡ تُؤۡثِرُونَ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا ١٦Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia وَٱلۡأٓخِرَةُ خَيۡرٌ وَأَبۡقَىٰٓ ١٧Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi إِنَّ هَٰذَا لَفِي ٱلصُّحُفِ ٱلۡأُولَىٰ ١٨Hakika haya yamo katika Vitabu vya mwanzo صُحُفِ إِبۡرَٰهِيمَ وَمُوسَىٰ ١٩Vitabu vya Ibrahimu na Musa

الترجمة: Ali Muhsin Al Barwani.