ملة الإسلام

السورة 88 · 26 آية · Ali Muhsin Al Barwani

سورة الغاشية باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة الغاشية (1,313 قارئاً)
مكيةسورة الغاشية٢٦ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ ٱلۡغَٰشِيَةِ ١Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza وُجُوهٌ يَوۡمَئِذٍ خَٰشِعَةٌ ٢Siku hiyo nyuso zitainama عَامِلَةٌ نَّاصِبَةٌ ٣Zikifanya kazi, nazo taabani تَصۡلَىٰ نَارًا حَامِيَةً ٤Ziingie katika Moto unao waka تُسۡقَىٰ مِنۡ عَيۡنٍ ءَانِيَةٍ ٥Zikinyweshwa kutoka chemchem inayo chemka لَّيۡسَ لَهُمۡ طَعَامٌ إِلَّا مِن ضَرِيعٍ ٦Hawatakuwa na chakula isipo kuwa kichungu chenye miba لَّا يُسۡمِنُ وَلَا يُغۡنِي مِن جُوعٍ ٧Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa وُجُوهٌ يَوۡمَئِذٍ نَّاعِمَةٌ ٨Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu لِّسَعۡيِهَا رَاضِيَةٌ ٩Zitakuwa radhi kwa juhudi yao فِي جَنَّةٍ عَالِيَةٍ ١٠Katika Bustani ya juu لَّا تَسۡمَعُ فِيهَا لَٰغِيَةً ١١Hawatasikia humo upuuzi فِيهَا عَيۡنٌ جَارِيَةٌ ١٢Humo imo chemchem inayo miminika فِيهَا سُرُرٌ مَّرۡفُوعَةٌ ١٣Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa وَأَكۡوَابٌ مَّوۡضُوعَةٌ ١٤Na bilauri zilizo pangwa وَنَمَارِقُ مَصۡفُوفَةٌ ١٥Na matakia safu safu وَزَرَابِيُّ مَبۡثُوثَةٌ ١٦Na mazulia yaliyo tandikwa أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى ٱلۡإِبِلِ كَيۡفَ خُلِقَتۡ ١٧Je! Hawamtazami ngamia jinsi alivyo umbwa وَإِلَى ٱلسَّمَآءِ كَيۡفَ رُفِعَتۡ ١٨Na mbingu jinsi ilivyo inuliwa وَإِلَى ٱلۡجِبَالِ كَيۡفَ نُصِبَتۡ ١٩Na milima jinsi ilivyo thibitishwa وَإِلَى ٱلۡأَرۡضِ كَيۡفَ سُطِحَتۡ ٢٠Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa فَذَكِّرۡ إِنَّمَآ أَنتَ مُذَكِّرٌ ٢١Basi kumbusha! Hakika wewe ni Mkumbushaji لَّسۡتَ عَلَيۡهِم بِمُصَيۡطِرٍ ٢٢Wewe si mwenye kuwatawalia إِلَّا مَن تَوَلَّىٰ وَكَفَرَ ٢٣Lakini anaye rudi nyuma na kukataa فَيُعَذِّبُهُ ٱللَّهُ ٱلۡعَذَابَ ٱلۡأَكۡبَرَ ٢٤Basi Mwenyezi Mungu atamuadhibu kwa adhabu iliyo kubwa kabisa إِنَّ إِلَيۡنَآ إِيَابَهُمۡ ٢٥Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao ثُمَّ إِنَّ عَلَيۡنَا حِسَابَهُم ٢٦Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao

الترجمة: Ali Muhsin Al Barwani.