بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ ١Naapa kwa usiku unapo funika وَٱلنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ ٢Na mchana unapo dhihiri وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ ٣Na kwa Aliye umba dume na jike إِنَّ سَعۡيَكُمۡ لَشَتَّىٰ ٤Hakika juhudi zenu bila ya shaka ni mbali mbali فَأَمَّا مَنۡ أَعۡطَىٰ وَٱتَّقَىٰ ٥Ama mwenye kutoa na akamchamngu وَصَدَّقَ بِٱلۡحُسۡنَىٰ ٦Na akaliwafiki lilio jema فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡيُسۡرَىٰ ٧Tutamsahilishia yawe mepesi وَأَمَّا مَنۢ بَخِلَ وَٱسۡتَغۡنَىٰ ٨Na ama mwenye kufanya ubakhili, na asiwe na haja ya wenzake وَكَذَّبَ بِٱلۡحُسۡنَىٰ ٩Na akakanusha lilio jema فَسَنُيَسِّرُهُۥ لِلۡعُسۡرَىٰ ١٠Tutamsahilishia yawe mazito وَمَا يُغۡنِي عَنۡهُ مَالُهُۥٓ إِذَا تَرَدَّىٰٓ ١١Na mali yake yatamfaa nini atapo kuwa anadidimia إِنَّ عَلَيۡنَا لَلۡهُدَىٰ ١٢Hakika ni juu yetu kuonyesha uwongofu وَإِنَّ لَنَا لَلۡأٓخِرَةَ وَٱلۡأُولَىٰ ١٣Na hakika ni yetu Sisi Akhera na dunia فَأَنذَرۡتُكُمۡ نَارًا تَلَظَّىٰ ١٤Basi nakuonyeni na Moto unao waka لَا يَصۡلَىٰهَآ إِلَّا ٱلۡأَشۡقَى ١٥Hatauingia ila mwovu kabisa ٱلَّذِي كَذَّبَ وَتَوَلَّىٰ ١٦Anaye kadhibisha na kupa mgongo وَسَيُجَنَّبُهَا ٱلۡأَتۡقَى ١٧Na mchamngu ataepushwa nao ٱلَّذِي يُؤۡتِي مَالَهُۥ يَتَزَكَّىٰ ١٨Ambaye hutoa mali yake kwa ajili ya kujitakasa وَمَا لِأَحَدٍ عِندَهُۥ مِن نِّعۡمَةٍ تُجۡزَىٰٓ ١٩Na wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa إِلَّا ٱبۡتِغَآءَ وَجۡهِ رَبِّهِ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٢٠Ila ni kutaka radhi ya Mola wake Mlezi aliye juu kabisa وَلَسَوۡفَ يَرۡضَىٰ ٢١Naye atakuja ridhika