تَبَّتۡ يَدَآ أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ ١Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamiaمَآ أَغۡنَىٰ عَنۡهُ مَالُهُۥ وَمَا كَسَبَ ٢Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichumaسَيَصۡلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ ٣Atauingia Moto wenye mwakoوَٱمۡرَأَتُهُۥ حَمَّالَةَ ٱلۡحَطَبِ ٤Na mkewe, mchukuzi wa kuniفِي جِيدِهَا حَبۡلٌ مِّن مَّسَدِۭ٥Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa