ملة الإسلام

السورة 83 · 36 آية · Ali Muhsin Al Barwani

سورة المطففين باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة المطففين (1,318 قارئاً)
مكيةسورة المطففين٣٦ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَيۡلٌ لِّلۡمُطَفِّفِينَ ١Ole wao hao wapunjao ٱلَّذِينَ إِذَا ٱكۡتَالُواْ عَلَى ٱلنَّاسِ يَسۡتَوۡفُونَ ٢Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe وَإِذَا كَالُوهُمۡ أَو وَّزَنُوهُمۡ يُخۡسِرُونَ ٣Na wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza أَلَا يَظُنُّ أُوْلَٰٓئِكَ أَنَّهُم مَّبۡعُوثُونَ ٤Kwani hawadhani hao kwamba watafufuliwa لِيَوۡمٍ عَظِيمٍ ٥Katika Siku iliyo kuu يَوۡمَ يَقُومُ ٱلنَّاسُ لِرَبِّ ٱلۡعَٰلَمِينَ ٦Siku watapo msimamia watu Mola Mlezi wa walimwengu wote كـَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡفُجَّارِ لَفِي سِجِّينٍ ٧Hasha! Hakika maandiko ya wakosefu bila ya shaka yamo katika Sijjin وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا سِجِّينٌ ٨Unajua nini Sijjin كِتَٰبٌ مَّرۡقُومٌ ٩Kitabu kilicho andikwa وَيۡلٌ يَوۡمَئِذٍ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ١٠Ole wao siku hiyo kwa wanao kadhibisha ٱلَّذِينَ يُكَذِّبُونَ بِيَوۡمِ ٱلدِّينِ ١١Ambao wanaikadhibisha Siku ya Malipo وَمَا يُكَذِّبُ بِهِۦٓ إِلَّا كُلُّ مُعۡتَدٍ أَثِيمٍ ١٢Wala haikadhibishi ila kila mwenye kuruka mipaka, mwenye dhambi إِذَا تُتۡلَىٰ عَلَيۡهِ ءَايَٰتُنَا قَالَ أَسَٰطِيرُ ٱلۡأَوَّلِينَ ١٣Anapo somewa Aya zetu husema: Ni visa vya watu wa kale كـَلَّاۖ بَلۡۜ رَانَ عَلَىٰ قُلُوبِهِم مَّا كَانُواْ يَكۡسِبُونَ ١٤Hasha! Bali yametia kutu juu ya nyoyo zao hao walio kuwa wakiyachuma كـَلَّآ إِنَّهُمۡ عَن رَّبِّهِمۡ يَوۡمَئِذٍ لَّمَحۡجُوبُونَ ١٥Hasha! Hakika hao siku hiyo bila ya shaka watazuiliwa na neema za Mola wao Mlezi ثُمَّ إِنَّهُمۡ لَصَالُواْ ٱلۡجَحِيمِ ١٦Kisha wataingia Motoni ثُمَّ يُقَالُ هَٰذَا ٱلَّذِي كُنتُم بِهِۦ تُكَذِّبُونَ ١٧Kisha waambiwe: Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyakadhabisha كـَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡأَبۡرَارِ لَفِي عِلِّيِّينَ ١٨Hasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا عِلِّيُّونَ ١٩Na nini kitakacho kujuvya nini I'liyyin كِتَٰبٌ مَّرۡقُومٌ ٢٠Kitabu kilicho andikwa يَشۡهَدُهُ ٱلۡمُقَرَّبُونَ ٢١Wanakishuhudia walio karibishwa إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ لَفِي نَعِيمٍ ٢٢Hakika watu wema bila ya shaka watakuwa katika neema عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ٢٣Wakae juu ya viti vya enzi wakiangalia تَعۡرِفُ فِي وُجُوهِهِمۡ نَضۡرَةَ ٱلنَّعِيمِ ٢٤Utatambua katika nyuso zao mng'aro wa neema يُسۡقَوۡنَ مِن رَّحِيقٍ مَّخۡتُومٍ ٢٥Watanyweshwa kinywaji safi kiliyo tiwa muhuri خِتَٰمُهُۥ مِسۡكٌۚ وَفِي ذَٰلِكَ فَلۡيَتَنَافَسِ ٱلۡمُتَنَٰفِسُونَ ٢٦Muhuri wake ni miski. Na katika hayo washindanie wenye kushindana وَمِزَاجُهُۥ مِن تَسۡنِيمٍ ٢٧Na mchanganyiko wake ni Tasniim عَيۡنًا يَشۡرَبُ بِهَا ٱلۡمُقَرَّبُونَ ٢٨Chemchem watakayo inywa walio kurubishwa إِنَّ ٱلَّذِينَ أَجۡرَمُواْ كَانُواْ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ يَضۡحَكُونَ ٢٩Kwa hakika wale walio kuwa wakosefu walikuwa wakiwacheka walio amini وَإِذَا مَرُّواْ بِهِمۡ يَتَغَامَزُونَ ٣٠Na wanapo pita karibu yao wakikonyezana وَإِذَا ٱنقَلَبُوٓاْ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِمُ ٱنقَلَبُواْ فَكِهِينَ ٣١Na wanapo rudi kwa watu wao hurudi nao wamefurahi وَإِذَا رَأَوۡهُمۡ قَالُوٓاْ إِنَّ هَٰٓؤُلَآءِ لَضَآلُّونَ ٣٢Na wanapo waona husema: Hakika hawa ndio khasa walio potea وَمَآ أُرۡسِلُواْ عَلَيۡهِمۡ حَٰفِظِينَ ٣٣Na wao hawakutumwa wawe walinzi juu yao فَٱلۡيَوۡمَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُواْ مِنَ ٱلۡكُفَّارِ يَضۡحَكُونَ ٣٤Basi leo walio amini ndio watawacheka makafiri عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ٣٥Nao wako juu ya viti vya enzi wakiangalia هَلۡ ثُوِّبَ ٱلۡكُفَّارُ مَا كَانُواْ يَفۡعَلُونَ ٣٦Je! makafiri wamelipwa malipo ya yale waliyo kuwa wakiyatenda

الترجمة: Ali Muhsin Al Barwani.