بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ
إِذَا ٱلسَّمَآءُ ٱنفَطَرَتۡ ١Mbingu itapo chanika وَإِذَا ٱلۡكَوَاكِبُ ٱنتَثَرَتۡ ٢Na nyota zitapo tawanyika وَإِذَا ٱلۡبِحَارُ فُجِّرَتۡ ٣Na bahari zitakapo pasuliwa وَإِذَا ٱلۡقُبُورُ بُعۡثِرَتۡ ٤Na makaburi yatapo fukuliwa عَلِمَتۡ نَفۡسٌ مَّا قَدَّمَتۡ وَأَخَّرَتۡ ٥Hapo kila nafsi itajua ilicho tanguliza, na ilicho bakisha nyuma يَٰٓأَيُّهَا ٱلۡإِنسَٰنُ مَا غَرَّكَ بِرَبِّكَ ٱلۡكَرِيمِ ٦Ewe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu ٱلَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّىٰكَ فَعَدَلَكَ ٧Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha فِيٓ أَيِّ صُورَةٍ مَّا شَآءَ رَكَّبَكَ ٨Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga كـَلَّا بَلۡ تُكَذِّبُونَ بِٱلدِّينِ ٩Sivyo hivyo! Bali nyinyi mnaikanusha Siku ya Malipo وَإِنَّ عَلَيۡكُمۡ لَحَٰفِظِينَ ١٠Na hakika bila ya shaka wapo walinzi juu yenu كِرَامًا كَٰتِبِينَ ١١Waandishi wenye hishima يَعۡلَمُونَ مَا تَفۡعَلُونَ ١٢Wanayajua mnayo yatenda إِنَّ ٱلۡأَبۡرَارَ لَفِي نَعِيمٍ ١٣Hakika wema bila ya shaka watakuwa katika neema وَإِنَّ ٱلۡفُجَّارَ لَفِي جَحِيمٍ ١٤Na hakika waovu bila ya shaka watakuwa Motoni يَصۡلَوۡنَهَا يَوۡمَ ٱلدِّينِ ١٥Wataingia humo Siku ya Malipo وَمَا هُمۡ عَنۡهَا بِغَآئِبِينَ ١٦Na hawatoacha kuwamo humo وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا يَوۡمُ ٱلدِّينِ ١٧Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani ثُمَّ مَآ أَدۡرَىٰكَ مَا يَوۡمُ ٱلدِّينِ ١٨Tena nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani يَوۡمَ لَا تَمۡلِكُ نَفۡسٌ لِّنَفۡسٍ شَيۡـًٔاۖ وَٱلۡأَمۡرُ يَوۡمَئِذٍ لِّلَّهِ ١٩Siku ambayo nafsi haitakuwa na madaraka yoyote juu ya nafsi; na amri yote siku hiyo ni ya Mwenyezi Mungu tu