Millat al-Islam

Chapter 113 · 5 verses · Abdullah Muhammad Abu Bakr

Surah Al-Falaq in Swahili

Arabic with tafsir Listen to Surah Al-Falaq (1299 reciters)
Meccanسورة الفلق5 verses

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

قُلۡ أَعُوذُ بِرَبِّ ٱلۡفَلَقِ ١Sema, ewe Mtume, «Najilinda na kutaka hifadhi kwa Bwana wa asubuhi مِن شَرِّ مَا خَلَقَ ٢«Kutokana na shari la viumbe na udhia wao وَمِن شَرِّ غَاسِقٍ إِذَا وَقَبَ ٣«Na shari la usiku wenye giza lingi ungiapo na ujikitapo na mashari na maudhi mbalimbali yaliyomo ndani yake وَمِن شَرِّ ٱلنَّفَّٰثَٰتِ فِي ٱلۡعُقَدِ ٤«Na shari la wchawi wenye kupuliza kwenye mafundo wanayoyafunga kwa lengo la kuroga وَمِن شَرِّ حَاسِدٍ إِذَا حَسَدَ ٥«Na shari la hasidi mwenye kutukia watu, anapowahusudu na kuwadhuru, kwa kutaka neema za Mwenyezi Mungu Aliyewaneemesha ziwaondokee.»

Translation: Abdullah Muhammad Abu Bakr.