Millat al-Islam

Chapter 112 · 4 verses · Abdullah Muhammad Abu Bakr

Surah Al-Ikhlas in Swahili

Arabic with tafsir Listen to Surah Al-Ikhlas (1391 reciters)

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ١Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayo ٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ٢«Mwenyezi Mungu Ambaye Peke Yake Ndiye Mwenye kukusudiwa kwa kukidhi haja na matakwa لَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ ٣«Hana mwana wala mzazi wala mke وَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ٤«Wala hakuna yoyote katika viumbe Vyake mwenye kufanana wala kushabihiyana na Yeye katika Majina Yake, Sifa Zake wala vitendo Vyake.»

Translation: Abdullah Muhammad Abu Bakr.