قُلۡ هُوَ ٱللَّهُ أَحَدٌ ١Sema, ewe Mtume, «Yeye Ndiye Mwenyezi Mungu Aliyepwekeka kwa ustahiki wa kuabudiwa, uumbaji na utakatifu wa Majina na Sifa, Asiye na mshirika katika hayoٱللَّهُ ٱلصَّمَدُ ٢«Mwenyezi Mungu Ambaye Peke Yake Ndiye Mwenye kukusudiwa kwa kukidhi haja na matakwaلَمۡ يَلِدۡ وَلَمۡ يُولَدۡ ٣«Hana mwana wala mzazi wala mkeوَلَمۡ يَكُن لَّهُۥ كُفُوًا أَحَدُۢ ٤«Wala hakuna yoyote katika viumbe Vyake mwenye kufanana wala kushabihiyana na Yeye katika Majina Yake, Sifa Zake wala vitendo Vyake.»