ملة الإسلام

السورة 110 · 3 آية · Abdullah Muhammad Abu Bakr

سورة النصر باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة النصر (1,302 قارئاً)
مدنيةسورة النصر٣ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

إِذَا جَآءَ نَصۡرُ ٱللَّهِ وَٱلۡفَتۡحُ ١Utakapotimia kwako , ewe Mtume, ushindi juu ya makafiri wa Kikureshi na ukafutahi Makkah وَرَأَيۡتَ ٱلنَّاسَ يَدۡخُلُونَ فِي دِينِ ٱللَّهِ أَفۡوَاجًا ٢Na ukaona watu wengi wanaingia kwenye Dini ya Mwenyezi Mungu makundi kwa makundi فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَٱسۡتَغۡفِرۡهُۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابَۢا ٣Yatakapotokea hayo, jitayarishe kukutana na Mola Wako kwa kumtakasa na kumhimidi na kumuomba msamaha kwa wingi. Kwani Yeye ni Mwingi wa kuwakubalia toba wenye kumsabihi na kumuomba msamaha, kwa kuwasamehe na kuwarehemu

الترجمة: Abdullah Muhammad Abu Bakr.