ملة الإسلام

السورة 79 · 46 آية · Ali Muhsin Al Barwani

سورة النازعات باللغة السواحلية

السورة بالعربية مع التفسير استمع إلى سورة النازعات (1,353 قارئاً)
مكيةسورة النازعات٤٦ آية

بِسۡمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحۡمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ

وَٱلنَّٰزِعَٰتِ غَرۡقًا ١Naapa kwa wanao komoa kwa nguvu وَٱلنَّٰشِطَٰتِ نَشۡطًا ٢Na kwa wanao toa kwa upole وَٱلسَّٰبِحَٰتِ سَبۡحًا ٣Na wanao ogelea فَٱلسَّٰبِقَٰتِ سَبۡقًا ٤Wakishindana mbio فَٱلۡمُدَبِّرَٰتِ أَمۡرًا ٥Wakidabiri mambo يَوۡمَ تَرۡجُفُ ٱلرَّاجِفَةُ ٦Siku kitapo tetemeka cha kutetemeka تَتۡبَعُهَا ٱلرَّادِفَةُ ٧Kifuate cha kufuatia قُلُوبٌ يَوۡمَئِذٍ وَاجِفَةٌ ٨Siku hiyo nyoyo zitapiga piga أَبۡصَٰرُهَا خَٰشِعَةٌ ٩Macho yatainama chini يَقُولُونَ أَءِنَّا لَمَرۡدُودُونَ فِي ٱلۡحَافِرَةِ ١٠Sasa wanasema: Ati kweli tutarudishwa kwenye hali ya kwanza أَءِذَا كُنَّا عِظَٰمًا نَّخِرَةً ١١Hata tukiwa mifupa iliyo bunguliwa قَالُواْ تِلۡكَ إِذًا كَرَّةٌ خَاسِرَةٌ ١٢Wanasema: Basi marejeo hayo ni yenye khasara فَإِنَّمَا هِيَ زَجۡرَةٌ وَٰحِدَةٌ ١٣Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu فَإِذَا هُم بِٱلسَّاهِرَةِ ١٤Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano هَلۡ أَتَىٰكَ حَدِيثُ مُوسَىٰٓ ١٥Je! Imekufikia hadithi ya Musa إِذۡ نَادَىٰهُ رَبُّهُۥ بِٱلۡوَادِ ٱلۡمُقَدَّسِ طُوًى ١٦Mola wake Mlezi alipo mwita katika bonde takatifu la T'uwaa, akamwambia ٱذۡهَبۡ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ١٧Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri فَقُلۡ هَل لَّكَ إِلَىٰٓ أَن تَزَكَّىٰ ١٨Umwambie: Je! Unapenda kujitakasa وَأَهۡدِيَكَ إِلَىٰ رَبِّكَ فَتَخۡشَىٰ ١٩Nami nitakuongoa ufike kwa Mola wako Mlezi, upate kumcha فَأَرَىٰهُ ٱلۡأٓيَةَ ٱلۡكُبۡرَىٰ ٢٠Basi alimwonyesha Ishara kubwa فَكَذَّبَ وَعَصَىٰ ٢١Lakini aliikadhibisha na akaasi ثُمَّ أَدۡبَرَ يَسۡعَىٰ ٢٢Kisha alirudi nyuma, akaingia kufanya juhudi فَحَشَرَ فَنَادَىٰ ٢٣Akakusanya watu akanadi فَقَالَ أَنَا۠ رَبُّكُمُ ٱلۡأَعۡلَىٰ ٢٤Akasema: Mimi ndiye Mola wenu Mlezi mkuu kabisa فَأَخَذَهُ ٱللَّهُ نَكَالَ ٱلۡأٓخِرَةِ وَٱلۡأُولَىٰٓ ٢٥Basi hapo Mwenyezi Mungu akamshika kumuadhibu kwa la mwisho na la mwanzo إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَعِبۡرَةً لِّمَن يَخۡشَىٰٓ ٢٦Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa ءَأَنتُمۡ أَشَدُّ خَلۡقًا أَمِ ٱلسَّمَآءُۚ بَنَىٰهَا ٢٧Je! Ni vigumu zaidi kukuumbeni nyinyi au mbingu? Yeye ndiye aliye ijenga رَفَعَ سَمۡكَهَا فَسَوَّىٰهَا ٢٨Akainua kimo chake, na akaitengeneza vizuri وَأَغۡطَشَ لَيۡلَهَا وَأَخۡرَجَ ضُحَىٰهَا ٢٩Na akautia giza usiku wake, na akautokeza mchana wake وَٱلۡأَرۡضَ بَعۡدَ ذَٰلِكَ دَحَىٰهَآ ٣٠Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi أَخۡرَجَ مِنۡهَا مَآءَهَا وَمَرۡعَىٰهَا ٣١Akatoa ndani yake maji yake na malisho yake وَٱلۡجِبَالَ أَرۡسَىٰهَا ٣٢Na milima akaisimamisha مَتَٰعًا لَّكُمۡ وَلِأَنۡعَٰمِكُمۡ ٣٣Kwa nafuu yenu na mifugo yenu فَإِذَا جَآءَتِ ٱلطَّآمَّةُ ٱلۡكُبۡرَىٰ ٣٤Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa يَوۡمَ يَتَذَكَّرُ ٱلۡإِنسَٰنُ مَا سَعَىٰ ٣٥Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya وَبُرِّزَتِ ٱلۡجَحِيمُ لِمَن يَرَىٰ ٣٦Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona فَأَمَّا مَن طَغَىٰ ٣٧Basi ama yule aliye zidi ujeuri وَءَاثَرَ ٱلۡحَيَوٰةَ ٱلدُّنۡيَا ٣٨Na akakhiari maisha ya dunia فَإِنَّ ٱلۡجَحِيمَ هِيَ ٱلۡمَأۡوَىٰ ٣٩Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake وَأَمَّا مَنۡ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِۦ وَنَهَى ٱلنَّفۡسَ عَنِ ٱلۡهَوَىٰ ٤٠Na ama yule anaye ogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi, na akajizuilia nafsi yake na matamanio فَإِنَّ ٱلۡجَنَّةَ هِيَ ٱلۡمَأۡوَىٰ ٤١Basi huyo, Pepo itakuwa ndiyo makaazi yake يَسۡـَٔلُونَكَ عَنِ ٱلسَّاعَةِ أَيَّانَ مُرۡسَىٰهَا ٤٢Wanakuuliza Saa (ya Kiyama) itakuwa lini فِيمَ أَنتَ مِن ذِكۡرَىٰهَآ ٤٣Una nini wewe hata uitaje إِلَىٰ رَبِّكَ مُنتَهَىٰهَآ ٤٤Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake إِنَّمَآ أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخۡشَىٰهَا ٤٥Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu كَأَنَّهُمۡ يَوۡمَ يَرَوۡنَهَا لَمۡ يَلۡبَثُوٓاْ إِلَّا عَشِيَّةً أَوۡ ضُحَىٰهَا ٤٦Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo Saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au mchana wake

الترجمة: Ali Muhsin Al Barwani.